- By Super User
- news
- Hits: 337
DKT. YONAZI AZITAKA DMG NA TANSHEQ KUTEKELEZA KWA WAKATI UPEMBUZI YAKINIFU WA UNUNUZI WA MELI ZA UVUVI BAHARI KUU
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi amewataka wataalamu waelekezi kutoka Kamapuni za DMG na TANSHEQ walioshinda zabuni ya Mkataba wa Upembuzi Yakinifu wa Ununuzi wa Meli za uvuvi wa Bahari Kuu na Ujenzi wa Viwanda vya Kuchakata Samaki,kukamilisha upembuzi kwa wakati ili Serikali ianze ujenzi wa meli katika Bahari Kuu na Viwanda vya kuchakata samaki.