Ikiwa ni kipindi kingine cha wadau wote wa sekta ya ajira duniani kusherehekea sikukuu ya wafanyakazi duniani. Menejimenti ya Tansheq Limited inapenda kuwatakia Heri kwa wafanyakazi wote duniani kwa siku hii .Pia Tunaendelea kuwakumbusha watanzania wenzetu kuendelea Kujikinga na kuombea Taifa dhidi ya Janga hili la Virusi vya Corona